2 Timotheo 2:9

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Nami ninateseka kwa sababu ya Injili hii nikivaa minyororo kama mhalifu. Lakini neno la Mungu halikufungwa minyororo.