2 Timotheo 2:7

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yatafakari haya ninayokuambia, kwa maana Mungu atakupa ufahamu katika mambo yote.