2 Timotheo 2:22

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Basi, kimbia tamaa za ujana, na utafute kupata haki, imani, upendo na amani pamoja na wote wamwitao Bwana kwa moyo safi.