2 Timotheo 2:11

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Neno hili ni kweli kabisa: kwamba kama tumekufa pamoja naye, tutaishi pamoja naye pia.