2 Petro 2:4

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Maana kama Mungu hakuwahurumia malaika walipotenda dhambi bali aliwatupa kuzimu, katika vifungo vya giza wakae huko mpaka siku ya hukumu;