2 Petro 2:21

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ingekuwa heri kwao kama hawa kuijua kamwe njia ya haki, kuliko kuifahamu kisha wakaiacha ile amri takatifu waliyopewa.