2 Petro 2:15

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wameiacha njia iliyonyooka, wakapotoka na kuifuata njia ya Balaamu mwana wa Beori aliyependa kupata fedha kwa kufa nya maovu.