1 Yohana 5:18

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Tunafahamu kuwa kila aliyezaliwa na Mungu haendelei kutenda dhambi; kwa sababu Mwana wa Mungu humlinda na yule mwovu hawezi kumgusa.