1 Yohana 5:11

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na ushuhuda wenyewe ndio huu: Mungu ametupatia uzima wa milele, na uzima huu umo kwa Mwanae.