1 Yohana 4:18

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Katika upendo hakuna woga; upendo ulioka milika hufukuza woga wote, kwa sababu woga hutokana na adhabu. Mtu mwenye woga hajakamilishwa katika upendo.