1 Yohana 3:22

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
nasi tunapokea kutoka kwake lo lote tuombalo kwa kuwa tunatii amri zake na kufanya yampendezayo.