1 Yohana 3:15

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kila anayemchukia ndugu yake ni mwuaji, na kama mjuavyo, hakuna mwuaji ambaye ana uzima wa milele ndani yake.