1 Yohana 2:28

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na sasa, wanangu, kaeni siku zote ndani yake, kusudi ata kapotokea tuwe na ujasiri na wala tusijitenge naye kwa kuona aibu atakapokuja.