1 Yohana 2:23

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mtu anayemkana Mwana hawezi kumjua Baba; mtu anayemkiri Mwana anamjua na Baba pia.