1 Yohana 2:10

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Anayempenda ndugu yake anaishi katika nuru na wala hana kitu cha kumfanya ajikwae.