1 Wathesalonike 4:6

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Katika jambo hili mtu asije akamkosea au kumdanganya ndugu yake. Kama tulivy okwisha kuwaambia na kuwaonya, Bwana atawaadhibu watu watendao dhambi zote za aina hii.