1 Wathesalonike 3:5

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ndio maana niliposhindwa kuvumilia nilituma mtu ili nifahamu msimamo wenu katika imani. Niliogopa kuwa pengine yule mjaribu shetani alikuwa amewajaribu na kwamba pengine juhudi yetu kwenu ingekuwa ni bure.

Taarifa Ya Timotheo