1 Wathesalonike 3:12

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Bwana na awawezeshe ninyi kupendana zaidi na zaidi na kuwapenda watu wote kama sisi tunav yowapenda ninyi.