1 Wathesalonike 2:7

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kama mitume wa Kristo tungaliweza kudai heshima kutoka kwenu, lakini tulikuwa wapole kwenu kama mama anayetunza watoto wake wadogo.