1 Wathesalonike 1:6

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Nanyi mkatuiga sisi, mkamuiga na Bwana; kwa maana mlilipokea neno kwa furaha mliyopewa na Roho Mtakatifu ingawa mlipata mateso makali.