1 Wakorintho 9:9

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa maana sheria ya Musa inasema, “Usimfunge ng’ombe kinywa wakati anapopura nafaka.” Je? Mnad hani ni ng’ombe ambaye Mungu anamfikiria?