1 Wakorintho 9:27

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
lakini nauimarisha mwili wangu na kuutawala, ili baada ya kuwahubiria wengine, mimi mwenyewe nisije nikakataliwa.