1 Wakorintho 9:2

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Hata kama mimi si mtume kwa wengine, hakika mimi ni mtume kwenu, kwa maana ninyi ni uthibitisho wa utume wangu katika Bwana.