1 Wakorintho 9:15

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini mimi sikutumia haki hizi, na wala siandiki haya ili kudai haki zangu. Ni afadhali nife, kuliko mtu aniondolee haki hii ya kujisifu.