1 Wakorintho 9:13

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Hamjui kwamba, watu walioajiriwa kazi Hekaluni wanapata chak ula chao hekaluni, na wale wanaohudumu madhabahuni wanapata sehemu ya sadaka zinazotolewa?