1 Wakorintho 9:11

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Je, ikiwa sisi tumepanda mbegu ya kiroho kati yenu, itakuwa ni kitu kikubwa sana iwapo tutavuna mahitaji ya mwili kutoka kwenu?