1 Wakorintho 6:7

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwamba mnashtakiana kati yenu ni dalili kuwa mmeanguka. Badala ya kushtakiana, kwa nini msikubali kutendewa ubaya? Kwa nini msikubali kudanganywa?