1 Wakorintho 6:12

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
“Kila kitu ni halali kwangu,”lakini si kila kitu kina faida. “Kila kitu ni halali kwangu,”lakini sitatawaliwa na cho chote.