1 Wakorintho 2:6

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini miongoni mwa watu waliokua kiroho, tunafundisha maneno ya hekima, hii si hekima ya ulimwengu huu au ya watawala wa nyakati hizi ambao watatoweka.