1 Wakorintho 2:4

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kuhubiri kwangu na ujumbe wangu haukuwa na hekima na maneno ya kuwashawishi watu, bali ujumbe wangu ulidhihirisha wazi nguvu za Roho,