1 Wakorintho 2:16

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
“Kwa maana ni nani amefahamu mawazo ya Bwana ili apate kumshauri?” Lakini sisi tunayo nia ya Kristo.