1 Wakorintho 2:10

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini Mungu amekidhihirisha kwetu kwa njia ya Roho wake. Roho huchunguza kila kitu, hata mambo ya ndani ya Mungu.