1 Wakorintho 15:49

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na kama tulivyochukua umbile la mtu wa ardhini, ndivyo tutakavyochukua umbile la yule mtu kutoka mbinguni.