1 Wakorintho 15:44

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Unapandwa ukiwa mwili wa asili, unafufuliwa ukiwa mwili wa kiroho. Kama kuna mwili wa asili, basi kuna mwili wa kiroho pia.