1 Wakorintho 15:24

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ndipo mwisho utafika, wakati ambao ataka bidhi Ufalme kwa Mungu Baba, akiisha angamiza kila mamlaka na uwezo na nguvu.