1 Wakorintho 15:21

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa maana kama vile kifo kilivyokuja kwa njia ya mtu mmoja, vivyo hivyo, ufufuo wa wafu umekuja kwa njia ya mtu mmoja.