1 Wakorintho 15:12

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Basi kama tumehubiri ya kwamba Kristo alifufuliwa kutoka kwa wafu, inakuwaje baadhi yenu mnasema hakuna ufufuo wa wafu?