1 Wakorintho 14:9

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Hali kadhalika na ninyi. Kama mkisema kwa lugha isiyoeleweka, watu watafahamuje mnachosema? Kwa maana mta kuwa mnasema hewani.