1 Wakorintho 14:37

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kama mtu anadhani yeye ni nabii, au ana karama za kiroho, basi akubali kwamba haya ninayoandika ni amri kutoka kwa Bwana.