1 Wakorintho 14:19

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini hata hivyo, nikiwa kanisani, ni afadhali niseme maneno matano ya kueleweka ili niwafundishe wengine kuliko kusema maneno elfu kumi kwa lugha.