1 Wakorintho 14:12

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Hali kadhalika na ninyi. Kwa kuwa mna hamu ya kuwa na karama za Roho, wekeni bidii katika karama zinazolijenga kanisa.