1 Wakorintho 13:8

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Upendo hauna mwisho. Lakini penye unabii, utakoma; zikiwepo lugha zitakoma; yakiwepo maarifa yatakwisha.