1 Wakorintho 12:8

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Maana mtu mmoja hupewa neno la hekima na huyo Roho, na mwingine hupewa neno la ufahamu kutoka kwa Roho huyo huyo.