1 Wakorintho 12:26

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kama kiungo kimoja cha mwili kikiteseka, viungo vyote vinateseka pamoja; kama kiungo kimoja kikipewa heshima, viungo vyote vinafurahi pamoja.