1 Wakorintho 12:11

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini ni Roho huyo huyo mmoja anayefanya haya yote, naye hugawa karama kwa kila mtu, kama yeye mwenyewe apendavyo.

Mwili Mmoja, Viungo Vingi