1 Wakorintho 11:5

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na mwanamke anayeomba au kutoa unabii pasipo kufunika kichwa chake, anaaibisha kichwa chake, ni sawa kama ame nyoa nywele zote kichwani.