1 Wakorintho 11:34

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kama mtu akiwa na njaa, ale nyumbani ili mnapokutana pamoja msije mkahukumiwa. Na nitakapokuja nitawapa maagizo zaidi.