1 Wakorintho 11:24

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
naye akiisha kushukuru , akaumega, akasema, “Huu ndio mwili wangu, ambao ni kwa ajili yenu. Fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu.”