1 Wakorintho 11:21

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa kuwa mnapokula, kila mmoja wenu anaendelea na chakula chake bila kun goja wengine, na mmoja anabaki na njaa wakati mwingine analewa.