1 Wakorintho 11:15

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini mwanamke akiwa na nywele ndefu ni sifa kwake. Kwa maana mwanamke amepewa nywele ndefu za kumfunika.